DKT. SAMIA APOKELEWA NA MAELFU YA WANANCHI WA NAKAPANYA, RUVUMA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Tuesday, September 23, 2025

DKT. SAMIA APOKELEWA NA MAELFU YA WANANCHI WA NAKAPANYA, RUVUMA


Maelfu ya wananchi wa Nakapanya Mkoani Ruvuma leo Jumanne Septemba 23, 2025 wakiwa wamejitokeza kwa wingi kuhudhuria na kumsikiliza Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyefika eneo hilo kwaajili ya kuomba kura kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Dkt. Samia tayari amefika Mkoani Mtwara kuendelea na Mikutano yake ya kampeni.

No comments:

Post a Comment