Maelfu ya wananchi wa Nanyumbu Mkoani Mtwara leo Jumanne Septemba 23, 2025 wakiwa wamehudhuria kwa wingi kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Tuesday, September 23, 2025
New
MAELFU WAJITOKEZA KWA WINGI KWENYE MAPOKEZI YA DKT. SAMIA MTWARA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment