
Dkt. Samia Suluhu Hassan Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM leo Ijumaa Septemba 12, 2025 akiwasili Uwanja wa Ndege wa Kigoma kwaajili ya kuendelea na kampeni za Uchaguzi Mkuu za chama hicho mkoani Kigoma.Dkt Samia ametokea Mkoani Tabora alipokuwa na mikutano ya kampeni kuanzia Septemba 10, 2025.





No comments:
Post a Comment