IRINGA MJINI NI ZAIDI YA MAHABA KWA DKT. SAMIA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Sunday, September 7, 2025

IRINGA MJINI NI ZAIDI YA MAHABA KWA DKT. SAMIA



Wananchi wa Mji wa Iringa leo Jumapili Septemba 07, 2025 wamejitokeza kwa wingi na kuujaza uwanja wa Michezo wa Samora wakati Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akihitimisha safari yake ya siku mbili mkoani humo kwaajili ya kusaka kura kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Kutokana na mwitikio Mkubwa wa watu, Dkt. Samia amewashukuru wananchi na Viongozi wa Mkoa huo kwa mapokezi makubwa akisema Mkoa huo umetia fora kati ya Mikoa mingine ambayo amekwisha fanya mikutano yake ya kampeni.









No comments:

Post a Comment