
Maelfu ya wananchi wa Kigoma Mjini Mkoani Kigoma leo Jumapili Septemba 14, 2025 wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye Viwanja vya Katosho kuhudhuria Mkutano mkubwa wa kampeni za Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan anayehitimisha ziara yake ya kampeni Mkoani humo.











No comments:
Post a Comment