MAPOKEZI YA DKT. SAMIA KWENYE KAMPENI KIGOMA MJINI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Sunday, September 14, 2025

MAPOKEZI YA DKT. SAMIA KWENYE KAMPENI KIGOMA MJINI


Mapokezi ya Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Septemba 14, 2025 kwenye Viwanja vya Katosho, Kigoma Mjini Mkoani Kigoma wakati wa muendelezo wa mikutano ya Kampeni za Chama hicho kwenye Mikoa ya Kanda ya Magharibi. Leo ni siku ya tatu na ya mwisho ya Dkt. Samia kuwa Mkoani Kigoma, akinadi sera, kueleza ahadi zake pamoja na utekelezaji wa ahadi mbalimbali kwenye serikali ya awamu ya sita.

No comments:

Post a Comment