Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) akimvalisha kofia Mwanachama mpya wa CCM Ndugu Said Bakema Rashid ambaye hapo awali alikuwa Kiongozi na Mratibu wa Chama cha ACT Wazalendo kwa mikoa mitano ikiwemo Kigoma. Ndugu Said Bakema Rashid ameamua kujiunga na CCM katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi CCM katika uwanja wa Katosho mkoani Kigoma tarehe 14 Septemba, 2025.
Sunday, September 14, 2025
New
DKT. SAMIA AMKARIBISHA CCM ALIYEKUWA MRATIBU WA KAMPENI ZA ACT- WAZALENDO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment