
Mamia ya wananchi wa Kibaha Mjini Mkoani Pwani wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumapili Septemba 28, 2025. Dkt. Samia ameanza kampeni zake Mkoani Pwani akitarajiwa kuwa na mikutano mitatu hii leo akianzia Kibaha na baadae Chalinze na Msata.













No comments:
Post a Comment