MAELFU WAFURIKA KAMPENI ZA DKT. SAMIA CHALINZE MKOANI PWANI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Sunday, September 28, 2025

MAELFU WAFURIKA KAMPENI ZA DKT. SAMIA CHALINZE MKOANI PWANI


Maelfu ya wananchi wa Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye Viwanja vya Polisi leo Jumapili Septemba 28, 2025 kwenye Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan.

No comments:

Post a Comment