MAMIA WAMPOKEA DKT. SAMIA KWENYE KAMPENI MAKUNDUCHI, ZANZIBAR - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, September 17, 2025

MAMIA WAMPOKEA DKT. SAMIA KWENYE KAMPENI MAKUNDUCHI, ZANZIBAR


Mamia ya wananchi wa Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja Visiwani Zanzibar wakiwa kwenye shamra shamra za kumpokea Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa Kampeni za Uchaguzi za Chama hicho leo Jumatano tarehe 17 Septemba, 2025.

No comments:

Post a Comment