
Wananchi wa Mbinga mkoani Ruvuma wakimsubiri kwa shangwe Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025. Dkt. Samia anatarajiwa kuwa na Mikutano miwili ya Kampeni hii leo akianzia Mbinga Mjini na baadae Jioni Mbamba Bay.





No comments:
Post a Comment