Mamia ya wananchi wa Mwanga Mkoani Kilimanjaro waliojitokeza leo Jumanne Septemba 30, 2025 ili kumlaki na kumsikiliza Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye amefanya Mkutano mkubwa wa hadhara kwenye Viwanja vya Msuya, akiahidi kuendelea kusogeza huduma za kijamii karibu zaidi na wananchi ikiwemo umeme ambapo ameomba Mwaka mmoja na nusu kumaliza kupeleka umeme kwenye Vitongoji vyote vya Tanzania.
Tuesday, September 30, 2025
New
UMATI WA WANANCHI WA MWANGA WAMLAKI DKT. SAMIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




No comments:
Post a Comment