Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi Mgombea Ubunge wa jimbo la Hanang Mkoani Manyara Asia Hamlaga, Mara baada ya Mkutano wa Kampeni wa Dkt. Samia uliofanyika kwenye Viwanja vya Hanang leo Ijumaa Oktoba 03, 2025.
Friday, October 3, 2025
New
DKT. SAMIA AKABIDHI ILANI KWA ASIA HAMLAGA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment