Maelfu ya wananchi wa Wilaya ya Hanang, Mkoani Manyara leo Ijumaa Oktoba 03, 2025 wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumlaki na kumsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliyeanza ziara yake ya Kikazi Mkoani Manyara leo Mchana akitokea Mkoani Arusha.
Friday, October 3, 2025
New
KISHINDO CHA DKT. SAMIA AKIANZA KAMPENI ZAKE MKOANI MANYARA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)










No comments:
Post a Comment