
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Missenyi mara baada ya kuwahutubia wananchi wa Muleba mkoani humo leo Jumatano Oktoba 15, 2025.

No comments:
Post a Comment