
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwakabidhi Ilani ya Uchaguzi Wagombea wa Ubunge wa Majimbo mbalimbali ya Mkoa wa Geita mara baada ya kuhutubia wananchi Geita Mjini leo Jumatatu Oktoba 13, 2025.






No comments:
Post a Comment