DKT. SAMIA AKABIDHI ILANI YA UCHAGUZI KWA WAGOMBEA UBUNGE SHINYANGA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Saturday, October 11, 2025

DKT. SAMIA AKABIDHI ILANI YA UCHAGUZI KWA WAGOMBEA UBUNGE SHINYANGA


Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa akikabidhi Ilani za Uchaguzi kwa baadhi ya Wagombea Ubunge wa Majimbo ya Mkoa wa Shinyanga leo Jumamosi Oktoba 11, 2025 mara baada ya kuhitimisha Mkutano wa Kampeni Shinyanga Mjini kwenye Viwanja vya Kambarage.



No comments:

Post a Comment