DKT. SAMIA AKABIDHI ILANI YA UCHAGUZI KWA DKT. BITEKO - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Sunday, October 12, 2025

DKT. SAMIA AKABIDHI ILANI YA UCHAGUZI KWA DKT. BITEKO


Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Mgombea wa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Bukombe Mkoani Geita, Dkt. Doto Mashaka Biteko Ilani ya Uchaguzi mara baada ya kuwahutubia wananchi wa Bukombe mkoani Geita leo Jumapili Oktoba 12, 2025.

No comments:

Post a Comment