
Wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM wa Kijiji cha Luguru, Wilaya ya Itilima wakimsikiliza Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan aliposimama kuwasalimia akitokea Bariadi kuelekea Maswa katika muendelezo wa mikutano ya kampeni za chama hicho Mkoani Simiyu leo Jumamosi Oktoba 11, 2025.





No comments:
Post a Comment