DKT. SAMIA ATOA ELIMU YA UPIGAJI WA KURA KWA WANANCHI WA BUKOBA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, October 16, 2025

DKT. SAMIA ATOA ELIMU YA UPIGAJI WA KURA KWA WANANCHI WA BUKOBA


Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa elimu ya upigaji wa kura kwa maelfu ya wananchi wa Bukoba Mjini Mkoani Kagera leo Alhamisi Oktoba 16, 2025 mara baada ya kumaliza kuomba kura kwa wananchi hao katika Viwanja vya Kaitaba.

Dkt. Samia katika elimu yake hiyo ametumia mfano wa karatasi ya kupigia kura zinazotolewa na Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi, kuwaelekeza wananchi lilipo Jina lake na la Mgombea Mwenza wake pamoja na namna ya kupiga kura sambamba na mambo ya kuepuka ili kuepusha kuharibu kura hapo Oktoba 29, 2025 pembeni yake ni Katibu wa NEC, Itikadi, uenezi na mafunzo Ndugu Kenani Laban Kihongosi.

No comments:

Post a Comment