
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye picha za matukio tofauti alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume Visiwani Zanzibar tayari kwa Mkutano Mkubwa wa Kampeni Za Uchaguzi Mkuu, Mkutano unaotarajiwa kufanyika kwenye Uwanja wa Mnazi mmoja leo Ijumaa October 24, 2025.





No comments:
Post a Comment