DKT. SAMIA ALIVYOWASILI MNAZI MMOJA, ZANZIBAR KWA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Friday, October 24, 2025

DKT. SAMIA ALIVYOWASILI MNAZI MMOJA, ZANZIBAR KWA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU



Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili na kupokelewa na Maelfu ya wananchi wa Unguja Visiwani Zanzibar kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja leo Ijumaa Oktoba 29, 2025, tayari kuendelea na Kampeni zake Visiwani humo kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.





No comments:

Post a Comment