SHAMRA SHAMRA ZA WANANCHI, MAPOKEZI YA DKT. SAMIA UNGUJA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Friday, October 24, 2025

SHAMRA SHAMRA ZA WANANCHI, MAPOKEZI YA DKT. SAMIA UNGUJA


Shamra Shamra za Wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mjini, Unguja Visiwani Zanzibar wakati wa Mapokezi na Mkutano wa Kampeni za Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan anayefanya Mkutano wake wa kufunga Kampeni zake Visiwani humo leo Ijumaa Oktoba 24, 2025 kuelekea uchaguzi Mkuu wa Jumatano ijayo Oktoba 29, 2025.








No comments:

Post a Comment