
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiingia kwenye Viwanja vya Ujamaa Ikwiriri, Wilayani Rufiji Mkoani Pwani leo Jumatatu Oktoba 20, 2025 kwaajili ya Mkutano wake wa hadhara wa Kampeni za uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.









No comments:
Post a Comment