DKT. SAMIA AWEKA SHADA LA MAUA KWENYE KABURI LA MWALIMU NYERERE - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Friday, October 10, 2025

DKT. SAMIA AWEKA SHADA LA MAUA KWENYE KABURI LA MWALIMU NYERERE



Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wanafamilia ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipozuru katika Kijiji cha Mwitongo Butiama Mkoani Mara leo Ijumaa Oktoba 10, 2025. Dkt. Samia ameambatana na Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt. Asharose Migiro na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Tanzania Bara Mzee Stephen Wasira.






No comments:

Post a Comment