
Mamia ya Wananchi wa Butiama mkoani Mara waliofika kumlaki na kumsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa Oktoba 10, 2025.


Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhe. Anthony Mtaka,akizungumza katika Ibada ya Jumamosi katika Kanisa la Waadventista Wasabato (SDA) Njombe Mjini. ...
No comments:
Post a Comment