Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan aliposimama kwenye Kituo cha mabasi Buhongwa, Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza leo Jumanne Oktoba 07, 2025, ikiwa ni siku yake ya kwanza ya Kampeni Mkoani Mwanza, Mkoa wa kwanza kati ya Mikoa ya Kanda ya Ziwa anayotarajiwa kuitembelea na kufanya mikutano ya Kampeni kwa kukutana na makundi mbalimbali ya Kijamii kwenye Kanda hiyo kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Tuesday, October 7, 2025
New
DKT. SAMIA KWENYE KAMPENI BUHONGWA MKOANI MWANZA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment