
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na kuomba kura kwa wananchi maelfu ya wananchi wa Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wa Mji mdogo wa Masumbwe, Wilayani Mbogwe Mkoani Geita leo Jumapili Oktoba 12, 2025.



No comments:
Post a Comment