
Maelfu ya Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wa Wilaya ya Bukombe Mkoani Geita wakiwa wamejitokeza kwa wingi na kuujaza uwanja wa Shule ya Msingi Ushirombo leo Jumapili Oktoba 12z 2025 kwenye Kampeni za Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyeanza Kampeni zake Mkoani humo leo akitokea Mkoa wa Shinyanga.



No comments:
Post a Comment