MULEBA YAITIKA,UMATI WA WATU WAJITOKEZA KAMPENI ZA DKT. SAMIA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, October 15, 2025

MULEBA YAITIKA,UMATI WA WATU WAJITOKEZA KAMPENI ZA DKT. SAMIA

Maelfu ya wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa wamejitokeza kwa wingi na kuujaza uwanja wa CCM Zimbihile, Wilayani Muleba Mkoani Kagera leo Jumatano Oktoba 15, 2025 wakati wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan. Dkt. Samia anatumia mikutano hiyo kueleza mafanikio ya serikali yake ya awamu ya sita, kuinadi Ilani ya Chama chake pamoja na kuomba kura kwa wananchi wa Mkoa huo.









No comments:

Post a Comment