NI CHEREKO YA NISHATI SAFI BANDA LA REA TANGA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Sunday, October 12, 2025

NI CHEREKO YA NISHATI SAFI BANDA LA REA TANGA




Na Mwandishi Wetu, Tanga


Wadau wa Sekta ya Nishati na wananchi mbalimbali wakiwa katika banda la Wakala wa Nishati Vijijini (REA), kwa ajili ya kununua majiko ya gesi kwa bei ya ruzuku (shilingi 17,500 tu) katika Maadhimisho ya Wiki ya Chakula Duniani 2025 yanayofanyika jijini Tanga.

Maadhimisho hayo yamepambwa na kauli mbiu: "Tuungane kwa pamoja kupata Chakula Bora kwa Maisha Bora ya Baadaye" yamefanyika katika viwanja vya shule ya msingi Usagara jijini humo.




No comments:

Post a Comment