
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na maelfu ya wananchi wa Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha kwenye Viwanja vya Kituo cha Mabasi Usa River leo Oktoba Mosi, 2025 kwenye siku yake ya kwanza ya Kampeni Mkoani humo akitokea kwenye Mkoa wa Kilimanjaro. Kesho Dkt. Samia anatarajiwa kuwa na Mkutano mkubwa wa hadhara kwenye Viwanja vya Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.








No comments:
Post a Comment