Mamia ya wananchi wa Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye Mkutano wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu aliyeingia Mkoani Arusha mchana wa leo Oktoba Mosi, 2025 akitokea Mkoani Kilimanjaro na kufanya Mkutano wake wa Kwanza kwenye Kituo cha mabasi Usa River Wilayani Arumeru.
Wednesday, October 1, 2025
New
DKT. SAMIA AINGIA MKOANI ARUSHA KWA KISHINDO, APOKELEWA NA MAELFU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment