
Umati wa wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye Viwanja vya Sabasaba, Kata ya Namanyere, Nkasi Mkoani Rukwa, kumpokea na kumsikiliza Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliyeingia Mkoani Rukwa jioni ya leo akitokea Mkoani Katavi kuendelea na mikutano ya kampeni za uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.










No comments:
Post a Comment