
Shamra shamra za Wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumlaki na kumsikiliza Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa kampeni za uchaguzi Mkuu leo Jumatatu Oktoba 20, 2025 Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani.








No comments:
Post a Comment