KISHINDO CHA WANANCHI WA HAI KWENYE MKUTANO WA DKT. SAMIA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, October 1, 2025

KISHINDO CHA WANANCHI WA HAI KWENYE MKUTANO WA DKT. SAMIA


Maelfu ya wananchi wa Hai Mkoani Kilimanjaro wakiwa wamejitokeza kwa wingi leo Jumatano Oktoba Mosi, 2025 kumlaki na kumsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Viwanja vya Snow View, Bomang'ombe. Dkt. Samia ametumia Mkutano huo kuwashukuru wananchi wa Mkoa huo kwa mahudhurio makubwa kwenye Mikutano yake na tayari ameanza Mikutano yake kwenye Mkoa wa Arusha.


No comments:

Post a Comment