
Maelfu ya wananchi wa Wilaya ya Mpanda Mkoani Katavi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni wa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi Oktoba 19, 2025 kwenye Viwanja vya Azimio.




No comments:
Post a Comment