
Maelfu ya wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye Viwanja vya Leaders Club, Wilayani Kinondoni Mkoani Dar Es Salaam kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Oktoba 21, 2025.













No comments:
Post a Comment