
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni Jijini Dar Es salaam kwaajili ya Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 21, 2025.





No comments:
Post a Comment