Umati wa wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka Katoro, Wilaya ya Geita Mkoani Geita wakiwa kwenye Mkutano wa Kampeni za uchaguzi Mkuu wa Tanzania za Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu Oktoba 13, 2025. Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa kuwachagua Madiwani, Wabunge na Rais wa Tanzania utafanyika Jumatano Oktoba 29, 2025.
No comments:
Post a Comment