
Maelfu ya wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye Viwanja vya Tanesco Yombo Vituka Wilayani Temeke Mkoani Dar Es Salaam leo Alhamisi Oktoba 23, 2025 kumlaki na kumsikiliza Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan, anayefanya Mkutano wake wa mwisho wa Kampeni leo Mkoani Humo. Mkutano huo pia utatumika kuwaombea kura Madiwani na Wabunge kutoka Majimbo na Kata za Temeke, Kigamboni, Mbagala na Chamanzi.














No comments:
Post a Comment