MAELFU WAITIKA KAMPENI ZA DKT. SAMIA MBOGWE, GEITA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Sunday, October 12, 2025

MAELFU WAITIKA KAMPENI ZA DKT. SAMIA MBOGWE, GEITA


Umati mkubwa wa wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliojitokeza leo kwenye Viwanja vya Masumbwe, Wilayani Mbogwe Mkoani Geita leo Jumapili Oktoba 12, 2025 kumlaki na kumsikiliza Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyeanza ziara yake ya Kampeni katika Mkoa huo akitokea Mkoani Shinyanga.



No comments:

Post a Comment