MAELFU WAMLAKI DKT. SAMIA BUHONGWA MKOANI MWANZA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Tuesday, October 7, 2025

MAELFU WAMLAKI DKT. SAMIA BUHONGWA MKOANI MWANZA


Maelfu ya Wananchi wa Kata ya Buhongwa Wilayani Nyamagana Mkoani Mwanza waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni wa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan mkoani Mwanza leo Jumanne Oktoba 07, 2025.

No comments:

Post a Comment