Mamia ya Wananchi wa wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza waliofika kumlaki na kumsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Oktoba 07, 2025 kwenye Mkutano wake wa Pili wa Kampeni Mkoani Mwanza.
Tuesday, October 7, 2025
New
MISUNGWI KWENYE MAPOKEZI YA KISHINDO KWA DKT.SAMIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment