Maelfu ya wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye Viwanja vya Ujamaa, Ikwiriri, Wilayani Rufiji Mkoani Pwani leo Jumatatu Oktoba 20, 2025 kwaajili ya kumlaki na kumsikiliza Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan anayeanza mikutano yake ya Kampeni Mkoani humo akitokea kwenye Mikoa ya Katavi na Rukwa.
No comments:
Post a Comment