SHAMRA SHAMRA ZA WANANCHI WA ILALA, KAMPENI ZA DKT. SAMIA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, October 22, 2025

SHAMRA SHAMRA ZA WANANCHI WA ILALA, KAMPENI ZA DKT. SAMIA


Maelfu ya wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye Viwanja vya Kecha, Kinyere, Wilayani Ilala Mkoani Dar Es Salaam leo Jumatano Oktoba 22, 2025 kwenye Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan anayenadi Ilani ya Chama chake na kuomba kura kwa wananchi kuelekea uchaguzi Mkuu wa Jumatano ijayo Oktoba 29, 2025.












No comments:

Post a Comment