
Maelfu ya wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM wakiwa wamejitokeza kwa Wingi Bunda Mjini Mkoani Mara leo Alhamisi Oktoba 09, 2025 kwaajili ya kumlaki na kumsikiliza Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye anaanza mikutano yake ya kampeni Mkoani humo akitokea Lamadi Mkoani Simiyu.
















No comments:
Post a Comment