
Maelfu ya wananchi wa Jiji la Arusha Mkoani Arusha leo Alhamisi Oktoba 02, 2025 wakiwa wameujaza uwanja wa sheikh Amri Abeid kwaajili ya kumlaki na kumsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye yupo Mkoani humo kwa siku yake ya pili, akiomba kura kwa wananchi kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.










No comments:
Post a Comment