SHEIKH AMRI ABEID ARUSHA YAFURIKA KAMPENI ZA DKT. SAMIA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, October 2, 2025

SHEIKH AMRI ABEID ARUSHA YAFURIKA KAMPENI ZA DKT. SAMIA


Maelfu ya wananchi wa Jiji la Arusha Mkoani Arusha wakiwa wameujaza uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid leo Alhamisi Oktoba 02, 2025 wakiwa wanamsikiliza Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye anafanya Mkutano wake wa Kampeni kwa siku ya pili Mkoani humo, akitarajiwa kuhitimisha Kampeni zake Kesho Ijumaa Oktoba 03, 2025 kwa kufanya Mikutano kwenye Wilaya za Monduli na Karatu na baadaye kuelekea Mkoani Manyara.









No comments:

Post a Comment