
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhi ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwa wagombea Ubunge wa Majimbo ya Mkoa wa Arusha pamoja na wale wa Viti maalum, mara baada ya kuomba kura kwa wananchi wa Jiji la Arusha Mkoani Arusha kwenye Viwanja vya Sheikh Amri Abeid leo Alhamisi Oktoba 02, 2025.






No comments:
Post a Comment